Cuzo Kadinya

Nina kuzo kadinya last year alihama Umo juu alipea dame ball. Leo sasa amenichapia akanishow nimloan doh ya kuhama juu amepea dame mwingine ball pale Roysa. Nimpee ama aende akikaukanga…kimtu kiko campus na dame namjua. This fucker will have 10 kids before he settles.

He is doing his duty of repopulating earth

5 Likes

Ni utamu wa dry fry.He likes it raw

usingo madha must be in your blood

11 Likes

Admin kamuliwa mkia na Bingwa

1 Like

eka picha ya 10 kids or it nefa happened…

aankufanyianga hivyo???

Asubuhi si ali ku offer haga, kulienda aje pale inbox?

2 Likes

@Deorro sema ukweli…nini ilihappen inbox juu Bingwa amenyamaza ivo? Iyo sio coincidence

mimi nakaa seat ya loo nipewe haga?

1 Like

Tutajuaje…na Bingwa ako MIA. Naskia ameonekana Kenyatta na crutches…kuwa mpole:D

mkia ni poa

aha! umejuaje alinyamaza? so umekuwa ukistalk Bingwa crush wako?
http://i3.kym-cdn.com/photos/images/original/000/642/238/cca.gif

1 Like

yaani mnaTROLL mpaka MOD… Haha

Wacha reverse psychology hapa…unaonewa 18. Bingwa asipopost anything in 24 hours tutajua chenye ilihappen.

kila mtu anataka Bingwa apigwe mstari na wewe uko busy stalking him wanking to his posts. Usipewe ATU

The truth hurts…mbona unacatch sasa juu ya offer ya Bingwa. I mean kama ilihappen hatutakublame:D:D:D

Says the guy hununuliwa pombe kwa club na wanaume wenzake.

4 Likes

MOD leo amesample WD43.
Kali kapisa.

4 Likes

Najua nikiendelea sitawahi kuwa sponsor. MRWNBAS…MTU random will never be a sponsor:D