cyprian is mcoondu...

si lazima nikuwe engineer but am death sure kuna reason behind this… ama aje @Randy? na ukioma comments, cheesos! people are primitive, i stand to be corrected though…[ATTACH=full]251574[/ATTACH]

Bro, what are you talking about?

It’s end month so people are bound to be incoherent

I think I have an idea but ngoja mwenyewe aseme. Kulikuwa na thread hapa tukajibu mwenyewe akang’oa.

poleni wakubwa, thanks for excercising your patience…

Tuanzie hapo kwa death sure ndio nini?

tafuta tent yenye cyprian nyakundi yuko mkae huko

@Chloe tu najua handwriting yako, habari za diaspora?

@Chloe mishipa ya lizard… tulia VS… uko club gani?

@Randy correct me if I’m wrong, but I think he’s referring to the window fixtures being done before the plastering or finishing.
Which to me is a small deal as the can use the scaffold (spelling) for the exterior when doing the finishing…

@pamba usiache huyu nyuma pia… endeni pamoja… cyprian anaongelea hizo vitu zanakaa balcony juu wa windows of which sioni makosa, i want @Randy to clarify between mimi na cyprian nani ni walking dead… iwinjo te?

Seems like the intial plan was to have balcony but the developer changed his mind… l can guarantee this has nothing to do with contractor or engineer ii ni kazi ya foreman/fundi na developer.

Modern moyale, if you know you know.

Niliona hii post huko Facebook kitambo sana.

Pamba umetoka butiye na sololo

chloe ako hapa Kenya

Ni dambala falasha

huyu ni lightskin. alikuwa amepost na ile handle ya azhor…

Nope, i know this ninja.

Why are you tagging me in unnecessary wars?

As per view of that photo, that ain’t a balcony but kind of a ledge that should act as a shade for the window below. View it in that perspective and you’ll find out there is NO wrong in that building.