DAD FROM HELL , NJORO WA GUTHURIA & LANYE

Most of our traditions demand that once a boy undergoes the cut he should leave his folks house and live in a small cave built some distance from his paro’s house…Apparently, wazazi wa Njoro waliamua nyumba yake ijengwe next to theirs zikishikana and worse of ni wooden houses zote.

Njooro na tabia yake mbaya ya kuleta tudame, iliendelea bila yeye kupatikana. So this day he did his usual random check if there was anybody around na ikawa hakuna…akavusha dame kejani. Kumbe that day the dad alifika mapema akadoz. Super Njoro started feasting on his goody goody…So dame katika zile hali za moans and groans…akaanza kuongea in tongues whixh zilishika hadi she switched to speaking in Kiuk now…all this time dad ilibaki ameamuka coz ya masauti from the next room…so its like alikuwa tu amekaa kuskiza maremix…kwenye ile kiuk yake, the lanye told Njoro…whoever can write in kiuk saidia hapa" If you continue i will fart and shit and if you stop i will die…“” (waederea niguthuria na mee na wa reka nigukua)…Dad after kuskia hivyo, shouted from the other side…(joroge…nikafaa kathurie na kamee…dukareke gakue…) “Njoroge, its better she farts and defecates dont let her die”…Kijana alichomoka hiyo nyumba mbio bila t-shirt alirudi after wiki 3…watu walijua hii storo huishi kucheka wakiona Njoro…tunamwitanga Njoro wa guthuria…

[SIZE=6]UPUUUUUS!!! [/SIZE]

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

shule zinafunguliwa lini?

Hizo cubes za kuvutia msee from nyumba kubwa ama jikoni zilikuwa za upuus. Unashindwa wall moja ya mbao ama matope ndio ilikuwa Ina save nini? Parents and being over protective like shit. Mimi mbuyu ukitairi alikuwa amejipanga. Man cave yako iko mbali Na kwake just outside the fence of the homestead pahali as he used to say “sitakuona tukipishana pishana hapa inje yangu”. Hata ka njia ka Ku join your man cave Ni the first from the main gate on the left. Ka foot path with two rows of flowers, zenye hurefuka and should be trimmed, that led to inje ya our caves with beautiful flowers and a type of grass that is soft and grows Kama kameshikana. Kando karibu Na a well trimmed tree ka kivuli Ni weight lifting machine two building stones held together with a metal. Even if uko ndani ya man cave and the big man wants to pass some commands anakuitia mbali hakuji kwa mlango and not with your name…just weeeee(you) or hizi miziki kwani Ni disco!!! Unazima Na juu wewe pia Ni mwanaume you don’t go at once…no hurry. After one minute ndio unatoka ukifunga shati huku ukisema…aaaahhh hako kausingizi kalikuwa kamenichukua. Kitchen was out of bounds. Ikiwa hakuna siz wa kukuletea,food inapakuliwa hapo until you are seen. Wewe nani minyoo zilikuwa zimeipea timing. Unaenda Ni Kama unaenda choo Na kutoa sauti…mmm.h ama unakohoa. AMA unaanza Tu za hovyo…Nyinyi!!! mliskia yale mazishi venye ilikuwa imekujwo?..huko tumetoka usiku…unaskia madhee amesema wacha nikuletee ka stool. Unajiseti kwa mbao ya granary naye madhee anatoka Na mlima ya ugari Na sukuma anaiseti kwa stool. Mikono unasema ushanawa…ile ngumi ya kwanza unauma hiyo ugali Na kuguzisha skuma Ni quarter ya Ile mlima. Unauma Ki nusu Na unaanza Ile stori yako huku Uki chew igali. Mbuyu ako wax kwa mlima yake huko nyumba kubwa Ni kuku Tu anarushia miguu zenye zinarukia ugali yake. Madhee ako jikoni Na moshi yake akitengeneza chai. Woote wanaskiza hii stori yako and so you are shouting.

Hio man cave wale mamanzi nimetolea suruali huko wacha Tu. Natumana food Na kusema niko Na mgeni. Hiyo tosha. Sahani mbili pap. Food was plenty ilikuwa inapikwa catering mgeni yeyote anaweza kuja au mpita njia. Mamanzi Wanaingia Tu Ki incognito. No one knows wanaingia saa ngapi au kuchomoka saa ngapi

Hizo Gym za mawe…msee akiteremsha vibaya igonge chini corner moja inavuka na 2kgs…Unapataa unapiga side moja ni 19kgs ingine 17kgs…then unashindwa un-proportionality inatoka wapi…:D:D…Hapa kwa food enyewe mateso ilikuwa mingi…unaeza kuja ukute ulisaulika wakidhani hautarudi so food inamalizwa…especially ka mathe hayuko coz hiyo tu ndo roho lazima kila mtu apate share iwe uko ama hauyuko…worse ni eti huezi itisha food rife rife…Culture jo…ni vipoa kijana kujua mandazi hu-save life usiku na si poa kukosa ka thate kako mahali just in case upate ulisaulika

The good old days. Hehe. Great memories

Hahahaha
. Thank God for being from a young family hiyo maneno ati chali haingii jikoni wee! I am nobody’s slave

Bjurmann niumenyaga wi muguruki?

The story is old as jomo but always funny.

Hata Ol banita najua mambo ilikuwa hivi

hiyo mbao ya granary naijua sana…

Umeongeza chumvi lakini hekaya iko on point.

tulikua tunaziita mascan

@bjurmann ni mumeru. Vaite akitairi nyumba ya masa anasahau