Dada zangu.....Tuambie kitu cha kipumbavu zaidi ambacho X au Boy wako wa sasa kakufanyia

shusheni nondo izo bila woga na aibu

Mh

shemeji hulali

Nitalala muda s mref

Bado tu hawajakuja?

Tupia kapicha basi

mie sio muhusika

Wengi wanaogopa kusema wameombwa mtandao pendwa

Unaweza ukaanza hata wewe kwa niaba yao

Umeyajuaje haya

Kunizungusha gesti zote za mji ilihali anakwake…hakutaka nipajue…

Sasa nimeolewa nakula rahaaaaa…:smiley:

Kazi yangu…malalamiko ni mengi sana,hapa usharikani tunapata sana hizo kesi

Ukuje tukumbushie…haha

Oh sawa

Akuu…

Guest kuna raha yake bana…haswa ikifika ule mda wakuachia chumba

Ha ha haaa…

hahahahahaha huku sitaki nataka kibao moyoni
zile za sijui nimpe sijui nisimpe

kuna mmoja huyo alikua akikaa na shoga zake wakimuambia tu bwana angu kanipeleka gesti fulani basi lazima nitafutwe niambiwe namie nataka unipeleke iyo gesti wenzangu wameniambia ni nzuri sana mule ndani

:D:D:D