DADY U ROY is no more

Rggae fans take note that we have lost the original TOASTER the founder, man
"Wake the town n tell the people RIP Daddy U Roy, born Ewart Beckford, recognized for his pioneering musical style and his Stur Gav sound system rocking dancehalls worldwide and was responsible for the rise of deejays Super Cat, Josey Wales, Charlie Chaplain et al "
Order of Distinction

The music lives on

So sad. RIP KING

Yes rasta rip

Kama unaielewa … RIP the great

https://www.youtube.com/watch?v=is0hbBv40is

Kuna base pale 8th street easich walikua wakicheza dub stritcly tukibugia chipo (5bob at that time:D) lunj time after chuo. Umenipeleka kitambo mtu yangu

“lunj” ni ki LUNJE ama vipi omwami?

Hehe …

Its a lexicon boss,umeishi hapa miaka ngapi kuuliza maswali kama hayo?

Simtambui. I wont pretend to know him. Na mimi ndio gate keeper ya reggae luminaries.
nyinyi mlimsikia jana na mnajifanya kumjua sana.

Haukuwa unaskiza mix za reggae za king lion

Anataka ku confirm kama wewe ni Mluhya ama njaruo ndio ajue atakuwa ana deal na wewe namna gani, so jibu swali wacha maringo.

You are not young.

Ambia huyo mujamaa. Apa watu wa vybz kartel kama @Sokwe mtu hawaezi elewa

Kuwa young tuliachia akina @denis young

Lakini ujinga na umeffi ndio umejaza kwa akili.

Ndirì wa rika rìa mìnyongoro, nùgù

May the legend rest in peace, ananikumbusha how my older cousin used to dance Dub “chini Kwa chini” was the in-thing then.

Ni compe roho safi but naona umenishinda tena vinoma sana

Hatirí thina nyau íno