Dah hatimaye nimewapata ndugu zangu wana JF

Baada ya kuzurula huku na huko kama mwana mbuzi aliyepotea baada ya mama yake kuuawa n Fisi hatimaye nimepata pa kujisitri.

Najua yaliyonipata mie kwa kuikosa JF ndio yaliyowapata ndugu zanguni

Asanteni wakenya kwa kutupokea na kutusiri

[FONT=courier new]karibu uhamishoni mkuu…japo wenzio tumekuja kitambo kidogo lakini hujachelewa…[/FONT]

Nafurah kuwaona ndugu zangu

Huku naitwa villager tena hahaah

yaaah huku ni mwendo wa vileja tyuuuuuu…

Karibu sana

Karibu

Welcome

Pole sana…

Cc: @Mahondaw

hatimae nimetokea

Hahah! Umetisha sana

Welcome

Karibu wanambuzi tupo huku, Huko ulikotoka Kuna Mifisi yenye tamaa hata mfupa kama Jf inaona ni kitoweo kwao
Ila wenzio ndo tumekuwa senior villeger.

hatimae nimezoea looh

Uniandalie zawadi sasa jamani

Karibu!

Ahahahhaahah

Welcome

Kenya wamecheza kama Pele maana alosto ya jf ilikuwa Kali mno
Nalog off