Hizi vitu lazima zimalizike
niaje wakameat
The goverment must do something before i kill somebody,yaani watu wameamua my 6 million plot ndio watakua wanatupa hizo vitu,walai kuna mtu atakula mshale
Tufunge watoi na nini?? Mi sioni tukirudia nappies,
Fence off your plot
Sword ndio poa, the word is diaper.
ni poa,nitafutie ploti huko porini ,ni uze hii,afadhali kuwa na wanyama kama majirani
wewe hujaona mbwa ime-poop the indigestible parts of a sanitary pad…and you think it’s like ilikula mwenye kutumia akiwa hai…
:D:D:D:D:D
leo watu wamevuta kitu!!:rolleyes:
hehe na ukiwacha bibi sababu ya kuishi na wanyama? si unajua wewe ni mtu ya ndeiya, sitaki kuvunja boma
:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek:
Yaiikes… just lost my appetite
fungeni watoi na diapers lakini dispose off properly…
sioni kama kufence plot kutazuia mrushe uchafu…you and your neighbours just have to stop living like pigs…
wekeni hiyo madaiper kwenu,tukikutana na mtu akizitupa kwangu hio itakuwa murder case,niliweka barbed wire wakaimba
Putting up a wall around your plot is not that expensive to protect your 6 mita investment. It might cost you more to clear the baby guano deposits
kufence na wire haitasaidia, pengine uweke perimeter wall lakini people should dispose those things properly
ilikuwa ngoma gani?:D:D:D:D:D
:D:D:D:D:D
sahihisha,ni vile niko na hasira,mwanamke mzima anatoa sanitary pad kwa kuma anarusha kwangu?naweza zipeleka kwa mganga hizo kuma zifungike
collect me on the floor please…
Afadhali diapers. They are biodegradable. Ngoja hao ma neiba ws plot yako waanze kutupa unmentionables…utalia machozi.
But there cud be a solution…
- Uache nijenge low cost houses on a BOT arrangement or
- Ujenge mwenyewe those low cost houses.
You will get automatic guardians for your plot (no more dumping),it will not be at risk of being grabbed n finally there will be a new revenue source for you.
What you say @Wakanyama