hawa majambazi huwa na akili ndogo sana.Yaani unajianika tu hadharani ukitafuta likes. Ukipatikana hizo likes na comments hazita kuokoa. [ATTACH=full]127267[/ATTACH] [ATTACH=full]127268[/ATTACH] [ATTACH=full]127269[/ATTACH]
in a few days ngori image iko hapa, kazi kwako Hessy
They should continue making hessy’s work easy.
Hizi ndio mbegu za akina m2random…lack of father figures in their lives
Mchana yeye ni hustler wa kuuza mtumba :D:D
Next time mlete HD Video yake akikulishwa dengu kama ile ya Eastleigh.
wale watu wote wako na infinix…kazi kwako hessy
Some ninjas on Friday last week decided that I dont need to have a phone near Odeon,meffi ,it’s okay @Deorro na @fala leteni contacts.
Wanaibia mpaka mkubwa
Jama walitembelea mfuko bwana
afande ukiibiwa simu si sisi tutang’olewa roho tukitembea tu:D:D
Ukitembea na @pamba tao ni stress… yeye hutembea ka mtu wa ocha kuzubaa zubaa tu. Talking from experience. Afisa pole sana but niko mbali kidogo. Samsung Note 8 ikifika Kenya kujia moja.
:D:D:D
Too much of the Gangstar rap shit. And dancehall music.
hebu angalia kama kuna mmoja wao hapa.hawa ndio wanahangaisha watu tao[ATTACH=full]127440[/ATTACH]