wanakijiji, iko fala nlipea thumb drive na akafuta kila kitu. nisaidieni na recovery software mzuri... asanteni sana na muwe na jioni njema