Dawa ya kukuza uume

GAZETI

Village Elder
#1
Nmeamua kuwasaidia ndugu zangu wenye hii shida kwa kuwaulizia hili swali, tafadhali Jibu lisiwe
Ridhika na ulichonacho. Kama unaijua hiyo dawa iweke hapa.
 

Infantry

Senior Villager
#3
kwa nn hutaki kuambiwa ukweli wa ridhika na ulichonacho!? huo ndio ukweli mkuu vinginevyo unatafuta matatizo tu ya baadae kiafya,kisaikolojia na kiuchumi..
 
#7
subiri wazee wa 'vumbi la congo' waje
‘Congo Dust’ halikuzi uume. Lenyewe linachelewesha muda wa ‘Kukojoa’.
Dawa pekee ya kuongeza uume ni kukubali uhalisia. By the way tatizo lenyewe ni more of psychological kuliko inavyosemekana. Wanaume wengi siku hizi tumekuwa na ‘inferiority Complex ‘
 

stephot

Senior Villager
#10
Mkuu unataka kuipeleka wapi hiyo kitu ikishakuwa kubwa,wakishaanza kukukimbia ndio utajua hasara ya kukuza kwani kuirudisha tena iwe small haiwezekani zaidi ya kuikata,sasa nawaza tu sijui bila ya kichwa utawezaje kula...
 
#12
Dawa pekee na ya uhakika tena inayopatikana kwa bei rahisi kabisa ni kwenda kwenye mzinga wa nyuki kisha utegeshe boro lako hapo lidungwe na nyuki kama watatu alafu urudi home kwako kutest mtambo.
 
Top