Dawa ya kukuza uume

Nmeamua kuwasaidia ndugu zangu wenye hii shida kwa kuwaulizia hili swali, tafadhali Jibu lisiwe
Ridhika na ulichonacho. Kama unaijua hiyo dawa iweke hapa.

subiri wazee wa ‘vumbi la congo’ waje

kwa nn hutaki kuambiwa ukweli wa ridhika na ulichonacho!? huo ndio ukweli mkuu vinginevyo unatafuta matatizo tu ya baadae kiafya,kisaikolojia na kiuchumi…

Mh! yaleyale.

Jua jinsi ya kukitumia kibamia. Mwanamke kamwe hata kusahau.

Uwe na adabu wewe, nani ana kibamia? Kukuza sio lazima uwe na kibamia.

‘Congo Dust’ halikuzi uume. Lenyewe linachelewesha muda wa ‘Kukojoa’.
Dawa pekee ya kuongeza uume ni kukubali uhalisia. By the way tatizo lenyewe ni more of psychological kuliko inavyosemekana. Wanaume wengi siku hizi tumekuwa na ‘inferiority Complex ‘

Haaaaaaahaaaaa. Unakuza unataka kutomba punda au?Msijepasua mbunye.

Japokuwa umeweka angalizo lakini ushauri wangu ni huo; Rizika na ulichokuwa nacho

Mkuu unataka kuipeleka wapi hiyo kitu ikishakuwa kubwa,wakishaanza kukukimbia ndio utajua hasara ya kukuza kwani kuirudisha tena iwe small haiwezekani zaidi ya kuikata,sasa nawaza tu sijui bila ya kichwa utawezaje kula…

watumie kidogo walichobarikiwa

Dawa pekee na ya uhakika tena inayopatikana kwa bei rahisi kabisa ni kwenda kwenye mzinga wa nyuki kisha utegeshe boro lako hapo lidungwe na nyuki kama watatu alafu urudi home kwako kutest mtambo.

Dawa ni kutafuta mwanamke wa size yako

Kwa hiyo ufanye kazi ya kujaribu jaribu?

Ndio mku…kwani mpaka sasa mejitambua kuwa ni kibamia ameshagonga wangapi?

Mi nina mke mmoja tu, na ni huyohuyo toka nimezaliwa but I’m not sure if i’m Kibamia Or not na siulizi
kwa ajili yangu, nimeamua tu kurudisha miongoni mwa mada zilizotamba JF

Ikipatikana na yakupunguza uke itapendeza mana tatizo litakua limetatuliwa pia

Mkuu dawa zipo, ila jifunze tu kukitumia hcho hicho vizuri. japo nahisi upande wa pili huwa wana enjoy tu hata kama ni kibamia

Eti vibamia huwa vinawatosha? @Demii @Mzigua90 @Shunie @Sky Eclat @lady in action na mpenda Dudu @Evelyn Salt
Mpeni moyo kijana

Vibamia havijawahi kutosha

kama ipo kishule ya msingi je?