Dawa ya masai.

On my way to lunch I have met with this masai guy na ile kibuyu yao ya dawa
Masai ameuliza mimi ‘ero nikuuzie dawa?’
Kimcheczo nikamjibu ‘hii dawa yako masai inataka mtu kama amekula ngoja niende nikule kwanza’.
Nikienda kuingia kibanda naona masai ako nyuma amenifuata.
Sasa nimemaliza kula na nikiangalia naona masai amekaa hapo nje hana haraka.
Sasa sina excuse, talkers mlisema hii dawa iko na consequences gani juu naona nikiikunywa in the next few minutes?

2 Likes

Kuhara ndio mob, hiyo food within hours itakua on its way to ruai

12 Likes

Ni dawa aina gani? Viagra ama?

1 Like

hiyo akikusumbua nunua na uitupe baada ya kumwambia utakunywa ukiwa home

2 Likes

Heheh…“…that concotion contains the devil’s cum…” testified @byro in his sworn affidavit

3 Likes

Cunt relate

CUNT

No, some concoction they carry in a five litre jerry can which they claim cures a host of ailments.

Birrionaires tunakulaga kibandaski.

Mwambie penye ulikiwa unasikia maumivu pamepona after eating.

1 Like

Unakula chakula ama kibanda?

Naskia hio dawa hupunguza ujinga, kunywa ata kibuyu mzima nitalipa, umetusumbua sana

1 Like

[ATTACH=full]86967[/ATTACH]
…na si unywe alafu urete hekaya.
kujaribu ndio kujua.

2 Likes

Wewe panga line kwa DH na uwache pang’ang’a.

:D:D:D:D you do remember this to date?! Acheni akunywe tupate hekaya

2 Likes

hio dawa inakuwanga multi-purpose, i suspect it treats anything (according to them)

if they meet you on the street and you are skinny, they say - dawa ya kuongeza appetite. on the other hand if you have a beer belly, they say - dawa ya kumaliza minyoo

:D:D:D

3 Likes

Hiyo dawa yaitwa Chuma Mbele…
Usiniulize ni Chuma ipi na ni mbele wapi!
Itumie…hapa hatuna haraka, hekaya yako twaisubiri!

1 Like

Kuna type kadhaa n dosage, n inategemea vile utamlipa, ukimlipa poa utakupea ya kuharisha na kustopisha; ku detox, ukimlipa kimadharau atakupea ya kuharisha less ya kustopisha. Sasa shinda ni lazima utamsaka baadae asimamishe hio mharo na hapo ndio utajua kuhara sio ya mama yako. Ama namna gani?

2 Likes

@FieldMarshal CouchP took same masai concoction ,he’s lucky to survive

[ATTACH=full]86998[/ATTACH]

Wewe ni mgonjwa?

:D:D:D:D:D:D

1 Like