Dawa ya ukimwi!

GAZETI

Village Elder
#1
Jamani hii dawa inashindikana vipi kugunduliwa? Hatuna amani kabisa maana kuna vitu vya ukweli tunavikosa
kwa kukosekana hiyo dawa, Tunaishi bila amani kabisa. Yaani ni wiki sasa nashindwa kumtolea Mtu damu kwa
kuogopa kupima, Leo ndio nimetoa..... Sasa sijui wenyewe walionitoa wameona nini maana hata sijui wamepima
nini na nini! Mi nimeona tu wananitoa damu yangu ambayo ni Group O Negative
 
Sky Eclat

Village Elder
#2
Hong Kong scientists say new research points to 'functional cure' for HIV

Business Insider UK
15 June 2018

HONG KONG (Reuters) - A research team at Hong Kong University’s AIDS Institute says it may have found a "functional cure" to HIV, the virus that causes AIDS, in a major breakthrough that could see a new antibody be used for both prevention and treatment.
The research by the team led by Professor Chen Zhiwei comes as China is facing a growing epidemic issue among high risk groups, including men who have sex with men and sex workers.
There are about 850,000 people in China infected with HIV, according to the U.N.-supported AIDS Data Hub.
The HIV virus disables the immune system and makes people far more vulnerable to infections and disease.
Chen’s discovery, which has been tested on mice, shows that the new antibody can help control the virus and eliminate infected cells.
The antibody would be able to treat all varieties of HIV – a first, Chen said - as there is no one vaccine to treat the many different types of HIV viruses.
"For our newly discovered bispecific antibody, it works for all of them, so that’s the major difference," Chen told Reuters.
Chen said a “functional cure” means the virus level would be so low as to be undetectable in the body, as long as people continued taking injections of the antibody, perhaps on a quarterly basis, or less frequently.
The findings by Chen's team have been published in the Journal of Clinical Investigation, one of the world's leading biomedical journals.
People infected with HIV can keep the virus under control with antiretroviral drugs, which stop the virus from infecting new cells.
However, treatments must be taken daily and do not eliminate the infected cells from the body. The virus can, therefore, still exist and come back if patients stop taking their medication properly.
The new antibody would have a significantly longer half-life than current treatments, and could, for example, be administered on a quarterly basis, Chen said.
This would make it easier to administer than the daily treatment that most HIV infected patients must undergo.
While the results are promising Andrew Chidgey, chief executive of the group AIDS Concern in Hong Kong, said it did not mean the treatment would be readily available very soon.
"Governments are being very slow to implement programs here. So just because a treatment becomes available, doesn’t mean that people will get it, or that it will have an impact.”
Chen and his team say they are aiming to bring the antibody into clinical trials and give a time frame of three to five years.
 
ROBERTO 20

Village Elder
#7
Jamani hii dawa inashindikana vipi kugunduliwa? Hatuna amani kabisa maana kuna vitu vya ukweli tunavikosa
kwa kukosekana hiyo dawa, Tunaishi bila amani kabisa. Yaani ni wiki sasa nashindwa kumtolea Mtu damu kwa
kuogopa kupima, Leo ndio nimetoa..... Sasa sijui wenyewe walionitoa wameona nini maana hata sijui wamepima
nini na nini! Mi nimeona tu wananitoa damu yangu ambayo ni Group O Negative
Unataka dawa ili uendelee kufanya uzinzi???? HAIPATIKANI
 
Stewie

Village Elder
#8
jinsi virusi vya ukimwi vinavyojitengeneza ni kazi sana kupata dawa yake. Vinaingia ndani ya seli zinazokinga mwili na magonjwa, zinajizalisha humo na kuwa nyingi na kuua hiyo seli. kisha wale waliozalishwa wanaenda kuvamia seli nyingine. hivyohivyo hadi hizo seli zinazokinga mwili na magonjwa(CD4+) zinapungua na kutokeza upungufu wa kinga mwilini

Dawa za ukimwi za sasa zinafanya kazi mbili. kwanza zipo zinazozuia virusi hao wasiingie ndani ya seli na zipo zinazozuia virusi walioingia ndani ya seli wasijizalishe, hizi zipo za aina mbalimbali. kwahiyo hakuna dawa ya kutarget kirusi mojakwamoja. kama ambavyo ilivyo kwa bakteria au fangasi. Ambao uzalishaji wao hauhusihi seli zetu. Ila naimani dawa itapatikana tu sababu dawa kama Acyclovir imefanikiwa kuua baadhi ya virusi.

Pia binadamu nao ni wanoma sana!! unajua hakuna plague inaweza ikatokea na ikaweza kuua binadamu wote!?, hata UKIMWI kuna watu hata uwachome damu yenye virusi hawawezi kupata.
 
GAZETI

Village Elder
#9

Nafikiri mimi ni mmoja wa hao binadamu NOMA,
 
#13
Virus anamaumbile tofauti tofauto yasiyohesabika, na huwa anajibadilisha umbile alilonalo kulingana na mazingira yanavyobadilika.
Akigundua kuwa katika mfumo wa damu kumeingia dawa zenye formula itakayomuua basi hujibadilisha mabile uake ya nyuklia na ile dawa ikimfikia basi inakuwa kama maji ya kuoga tu kwa mwanadmu

Sasa basi ili virus auliwe inabidi iyengeneze dawa ambayo nayo huwa inabadili maumbile (formula) yake kila wakati inapogundua virus kajibadili. Na hakuna dawa ya kikemia/kibaiolojia inayoweza kubadilisha maumbile yake (nipo tayari kukosolewa kama nimekosea) isipokuwa virus wenyewe, hivyo basi inabidi utengeneze virus ambao utawaingiza kwa mgonjwa ili apambane nao.

Shida ni kuwa , HIV wana nguvu sana kati ya virus wenye nguvu.
Na virusi vya ukimwi huuliwa na virusi vya ukimwi.
 
#15
#17
#19
[emoji268][emoji268]KUONGEZA CD4 [emoji268][emoji268]
[emoji256]MAHITAJI[emoji256]
[emoji298]Alumuuluyya 100gm au kamuni aswed
[emoji298]shubiri gr50
[emoji298]habatus sauda 100gm
[emoji298]habatsufa100gm
[emoji298]mdalasini 100gm
[emoji298]kitunguu swaumu 100gm
[emoji298]mjafari 150gm
[emoji298]mrundarunda 100gm
[emoji298]mvule 100gm
[emoji298]tangawizi 100gm
[emoji298]karafuu 50gm
[emoji298]uwatu 100gm
[emoji298]mafuta ya karafuu original kijiko kimoja
[emoji298]Daria laini vijiko 5
[emoji298]asali Lita 10

[emoji271]MATUMIZI[emoji271]
Changanya dawa hizo kwa pamoja na mgonjwa atie vijiko viwili vya mchanganyiko huo kwenye maziwa moto kikombe kimoja ... asubui, mchana na jioni yaani kutwa mara tatu.
Atafanya hivyo kwa miezi sita mfululizo in shaa Allah
Allah a'alam.

Kwa mahitaji ya ushauri na dawa za magonjwa mbalimbali wasiliana nami .
Wenu Sulayman
+255 655 821 550
 
Top