dear elders advice me.

Nataka kuacha hii job nafanya alafu niingie kwa biashara.hii mambo ya kukalia kitu all day na pesa haitoshi imenichokesha.naona nikijitoa alafu nianze biz yangu mambo itakuwa poa with time.although sijui ni biashara gani naeza anza na budget ya 1 m.
kindly advice me am frustrated by my current employer

Pesa haitawahi tosha. You’re lucky you have a job. Someone out there you would love to have your bad day.

11 Likes

but nataka BIASHARA BRO.Hii mambo ya kushinda kureport na kutake instructions sitaweza tena

kama wataka advice, ask wale wasee wa mtaani wenye hawana that kind of money…jifanye hauna pia. then ask him/her what kind of bisna aneweza fungua with half the amount. utapata ideas nyingi sana. Then from ideas, zile zitakubamba kuja uulizia advice (pros and cons) hapa.

8 Likes
  1. Kabla uquit, piga hesabu ya your monthly expenses kisha multiply by eight. You will need the money ikusukume before your business gets a foot hold.

  2. Business sio rahisi. It takes dedication na kujituma especially the nascent months. Your presence hapo ni lazima otherwise kuchezwa and other calamities zitakuandama na haujuani na biashara yako vizuri.

  3. Piga research proper kabla haujaingia biashara. Amua kama ni niche market ama ni value addition unaingilia. For example (since hii ni field natambua better) ufungue fast food restaurant. Chipo nayo ni must lakini, ni services gani zingine utaoffer ndio place yako iwe unique among the multitudes? Sauces za maana, pork choma, burritos na nachos n.k

  4. Piga research proper. Jua what you want to do inside and out.

22 Likes

You don’t exit without a plan,start a side hustle first as you plan your exit otherwise life itakuchapa masweep.

10 Likes

Start the biz kama bado huko job ukiona ikishika then quit the job and go in full time lakini kwanza fanya research and when you enter into business ingia big time… invest pesa mzuri si kuingia shingo upande

7 Likes

Hiyo pesa nafungua pub na ka onefifte ikue litmus. Siwezi ingia na hiyo mita at once.

2 Likes

Umerusha uzito elder … I hope this helps

1 Like

unaweza toka. utateseka maybe lakini most likely you will come out better, more cash, and more panties to smell.

[ATTACH=full]91998[/ATTACH]

8 Likes

Vile wakubwa wamesema hapo juu. Vumilia kazi kwanza halafu start small (e.g salon/onyozi, jugdaniel dealer, fast-food etc), then ng’oa nanga…full fledged - usiogope risks.

Better still, look for a job less demanding and spare time to side hustle. Kama hiyo 1m ni savings, kudos uko disciplined.

It may be a hurdle to stay without constant income.

2 Likes

My advice ni simple sana…ukiamua kuwacha job, weka 700k kwa account mahali na usiguze. Anza biashara na 300k. It will force you to be more creative with less risk. You will not learn expensive lessons by losing large sums of money. Ukijaribu kuingia na mita yote my fren…utakuja tukufanyie harambee hapa in 3 months. If the business cant make a profit na capital ya 300k, it still will not make a profit na capital ya 1 mil…so why risk 1 mil initially? Good luck

5 Likes

Umemalsa kumasta bet?

Also, kama umechoka kukalia kiti kwa office, na kureceive orders, the only biz naweza kwambia unaweza risk all the 1 mil na usiogope ni matatu. Since you will be jobless, ukijiendeshea matatu it will be one of the best investments you will ever make. Industry ya transport ina pesa, especially kwa mtu ana gari yake…there are no thieving crews na utamaintain poa juu unajiendeshea. The other thing I can assure you, matatu is an extremely low risk business if you insure comprehensively, and drive it personally. Utaanza kurudisha pesa yako the next day bila kubahatisha…biz hata ukiplan aje bado kunakuwanga na risk kubwa ya kukosa customer. If you have a child, you dont have the luxury of risking ku-quit job kubahatisha biashara. Kama una mtoto, na bibi pia hako poa vile mfuko, buy mat and thank me later.

1 Like

Pork choma???

2 Likes

Kama huna blue print ya what business you want to venture hold your horses,business ina many risks and odds. Inataka good research,time and certain skill sets.

1 Like

Invest in real estate or anything that will give cashflow if possible the cashflow should be twice your expenses,+ put aside money twice your expenses for 6 moonths,start parttime and when the cashflow starts stabilizing quit

1 Like

Give me ksh 85,000 and I’ll tell you what i do and how my money makes money for me.

1 Like

Yap. Superb!!!

1 Like