Dear ladies

Siyo kila mwanaume atakuchezea akukimbie, wengine watakuchezea, wakuchezee, wakuchezee wakuchezee mpaka wewe mwenyewe Ukimbie

Chitchat love uuuuuuuuuu

Mambo ni hiviiiiiiiiiii…

Tupendane daima

Hahaha senior villager

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p
Kiti inakuja villager(in wakenya’s voice)

Naona kuna wezee wa kijiji,viongozi wa vijiji n.k

Hahahaaaa
Iko poa sana maana ukizoea unakuwa mwanakijiji wa ukweli

Vyeo vinapanda kwa kasi ya ajabu

Hazard tuchezeane mi na wewe tuone

Sisi tutachezeana milele hakuna atakaemkimbia mwenzie

Unasemaa??:rolleyes::rolleyes:

[SIZE=5]Kweli bwana…[/SIZE]

Ushakimbiza mtu mkuu?

Hahaha, hapo ni kuchezeana tuu hakuna namna!

Naona ushakuwa mzee wa kijiji:p:p:p:p:p:p
Usinisahau kwenye kugawa majaruba aisee

Hatimae jirani tumekutana tena,

Jiwe alaaniwe kwa kweli

Hahaha
Ni venye tunaanza moja jirani

Hahaha