Death to KPLC

Good morning wakumbwa. Stima zimerudi. Lakini bado nasema Death to KPLC.
[ATTACH=full]157546[/ATTACH]

na ninaona hapo kwa comments mumeside na KPLC sana. Sihami, Peasant akinunua buroti na ajenge hahamangi, hua ananunua Solar. Ama nianze nuclear fission chini ya maji hapa sasa.

Kwani zilikuwa zimepotea???

All night in my Area code. Na wengine wetu kazi ni usiku

Acha kusumbua!!! Hii kijiji yote hatuishi Soweto

hama! [SIZE=1]lakini umalize zile units umenunua kwanza[/SIZE]

Pole bro, kiuliso tu, job gani hii unafanya usiku?

Kuosha gari za ma tenants na torch imemusumbua

Wewe ni watchman wa usiku ?

Kagiru kende ya siafu

Utahama lini?

Kwani you guys don’t have nuclear? Peasants

Kimtu kinalongea mbaya na kinaishi place kukinyesha hakiwezi tokea. @Bantustani I lost opportunities to maximise my daily returns too.

Watu wa kuuza solar wako wapi?

Kuhang na shingo za watu

@kiLo- letea hii ng’ombe night vision goggles afanye night running pole pole.

ndio nimeland wadau

uwes wanataka kunimaliza hapa juu kplc imeninyanyasa. hebu warushie zile zako

Si tulikaa one week na dim lights hadi kuku nilikua nimeweka kwa fridge zikaoza. So one day ni shadow

Transformer ikiharibika, hao watu hutake time sana.

Depends on the area.Westi huwa wanatengeneza in a few hours