Decoder,antivirus na mneti

Jazzman

Village Elder
#12
Decoder unataka ya FTA ama?

Antivirus kama unataka ya kununua unaweza angalia jumia. Kama hutaki ya kununua chokora www.muhammadniaz.net uone ako na software gani.

Internet, kama huishi kichakani vile, kuna zile dish za Wimax (nimechoka, jina haikuji) zinauzwa then unaeza tembea liquid telcom wakuconnect.
 
petervic

Village Elder
#13

Decoder ata nataka for a friend na budget ya 2k and yes nadai FTA .. Hizo dish naeza toa wapi isay ? for antivirus i just want the best yakubuy pia siwezi mind
 
Top