Ukiingia pale kamba huwa unapewa ndefu ya kujinyonga,stori zinaekwa tu kwa file polepole,wewe ukifikiria there is safety in numbers since you're all doing it..siku ile makende yako inarefuka kidogo tu na unaanza kupiga domo..file inafunguliwa..until you concede.
But,and I could be wrong, he must have some appreciable dirt to warrant such