Dem kichwa bangi

Wasee mnakumbuka ule dem alinikazia muma the whole night… soo nkaita dem flani na nika thombotha yeye live live mbele ya hii fala ingine and guess what?!! Imagine ata nikama hakufeel mbaya ata hajaenda sasa nashindwa nifanye nini ndo aende… na me siezanangi kufukuxa mtu. Anyway nani ako na picha ya shoka anitumie nieke kwa screen saver labda itafanya aende

Kabla tukutimie picha ya shoka, tutumie foto evidence ya wewe mkiwa na wote wawili in same bed. Na usijaribu kudownload Kwa net.

Shule zitafunguliwa lini. didnt expect this "kufukuxa " from you @Mosa

Mosa Ni Omega male…

…, Alafu ukaamushwa na mathe uoge ,uende Sunday school

Hizi hadithi zako ni za upuzi.

Why buda

Thanks … its all about ufaka

Should it be kufukuza and not kufukuxa, …anyway am an old fossil

leta bisha ama ulale
[ATTACH=full]234737[/ATTACH]

Whatever… as long as u understand

msee anachunishwa sukumu, sasa anatafuta njia ya kuhepa. msaidie

[ATTACH=full]234983[/ATTACH]