dem kukwamilia mansion kumbe ata nyumba si yako umeomba upige tu one night stand#ctrl

•Kuna time nimejiweka kwa long distance kosokoso like the weak nigga I am ndio nikate expenses juu ya surprise visit zenye hawa wimminz huwa nazo, kila kitu ilikuwa inaenda fine until akadai anakuja mtaani

Wahenga walidai fimbo ya mbali haiui nyoka lakini hii nayo kulingana na vile tulikuwa tumesumbuana nayo kwa chat, alafu imejileta, hata ingekuwa wewe ungefanya aje?
Shida ya short distance relationship mdem hushinda ame pop up kwa mansion yako kama adverts kwa Churchill show, huwezi pumua… mraiya nikaamua away games ndio inaweza.

Hii ndio wahenga walidai ni Majinalisation, Dem akivuka hizo county zote more than five kuja kukuletea mizigo ukaguwe… pia majinalisation ni kupelekea wakamba maji .

Si mraiya nikaenda kuomba arif yangu keja ya kuchafulia mechi coz kuna venye yangu ilikuwa disorganized kama swearing in ceremony ya NASA…
Socks hazina unity, unapata socks moja ime show up iko “ndani ndani ndaaani” kwa kiatu Kama Baba ingine iko missing kama Kalonzo, unaeza ipata 2 days later ati ilikuwa detained chini ya bed

In short, nguo zilikuwa kila corner kama Muthurwa market, sharti ilifuliwa last 2016 unaeza ipata ime maintain na nguo ulivaa December 2017.

After ku organize venue ikabaki guest of honour ku arrive, mimi kama host nilikua nishajipanga na programme ya hiyo siku… anafika namfikisha kibanda kwanza akakule coz wote tuko away game ni vile sasa yeye hajui

Dem akafika tukaenda kuchangamkia chapo ndengu hapo kibanda, angetaka kushiba angetoka kwao kama amekula… cha muhimu ni kukuliwa anyway.

After lunch tukafika kejani, alafu ni ile una avoid majirani wa arif… unaeza meet nao ukiwa ndirao mwenda uskie wamekuita “Msee wa kuomba keja” wakuchomee picha bure.
After pleasantries ilikuwa kuangaliana nikama tuko news room tunangoja kuambiwa ni saa moja tuanze kusoma news, hapa ndio unaachia laws of attraction zifanye kazi yake… akakaribia nikakaribia

Ningeenda straight tu the point but nikama alikuwa anadaisha foreplay kwanza, ni wale madem wa let’s take it slow… mara ooh kosokoso let nature take it’s course…
Foreplay ni kama kuenda base ya mutura upate bado haijaiva uanze kulamba chumvi ukingoja, ama kuenda kibanda kununua chipo upate hazijaiva uanze kulamba tomatoe sauce… but isorait!
Umewai kuwa dryspell for long hadi ukipata opportunity ya kupeana mate unapeana nikama unapeana CPR ama mouth to mouth resasitation… in short, your kigongi depends on it.
Time ka hii ndio mikono huwa na akili zake coz huwa zinatembea kila sehemu nikama zina search WiFi signal, zinafika kwa nyonyo alafu njaro ilikuwa kucheza na nipples kama kipofu anasoma braille
After kucheza nazo gravity pia ika kick in coz kutoka hapo mikono ziliteremka to hadi mahali kuna COG yaani center of gravity, WiFi signal hapo huwaga strong sana, uliza mjuols… ikus ndio hotspot!
Alafu si unajua what a finger can do a msolokombo can do it better, roles zika change, mjuols ikachukua ma position, kazi ilikuwa ku set pace na ku shift gears kulingana na vile mtu ako receiving end alikuwa ana respond
Akilia sana unaongeza pace pia ndio utamu isishuke na pia sauti ya radio coz hii meeting ilifaa kuwa ya watu wawili anyway, jirani akitaka aletee wake asikilizie kwa wake
Nilitoka mechi nikama nimetoka kukimbia 10,000 meters steeple chase, unatoka ukitaftana na maji juu ya kuwa dehydrated.
Mansion ilikuwa inakaa crime scene ya domestic violence, nguo zilikuwa kila mahali, panty kwa tv, bra imehung kwa ceiling kama chandelier, boxer kwa sufuria, blouse sijui ilifika aje mlango ika maintain ka door mat.
Si nikajua hii date imeisha hivyo, ni kupumzika tu kidogo alafu kila mtu aende zake… tuka rest kitu thate minutes hivi nikaamsha dem tujitoe coz kuna venye nadai kufika job nilikuwa nimeacha tu wanishikie
Dem akadai mi niende nitampata tu kwa keja, nikamuuliza kama haendi kwa aunty yake akadai alitumia tu hiyo excuse ndio apewe chance ya kuja mtaani but haoni akienda huko anytime soon
Hapo ndio mans nikajua things fall apart, hii ilifaa kuwa hit and run si hit and learn… kwa wenyewe kwanza. Dem alikuwa amejianika kwa wenyewe kama paka ya duka akidhani ako kwangu lol.
Nikamsho ntakuja tuonge, acha niende niombe ruhusa job kwanza… nikafika idlers corner ku meet arif kumshow vile situation iko, akadai nimpee key ya kwangu niende ni sort hiyo mess, bora tusiharibu keja yake
Kurudi mansion Napata womans ametoa nguo za arif zile chafu nje anazifua, nikajua baas huyu nikama hajakuja mchezo, amekuja Nairobi kuishi, kuingia kejani ilikuwa ashaosha sufuria zilikuwa chafu pia
Nikama shida ikikupata huwa inaita shida zingine bash kwako, dem akaingia mansion ka amebeba bra kadhaa na amejam, akazitupa kwa meza akiuliza ni za nani? Hapa ndio waKisii hudai “Hoveee suspense!!!”
Mtoto wa mtu angejua tuko kwa wenyewe, nguo anafua ni za wenyewe, hizo bra zinampandisha pressure ni za wenyewe… hata hangekuwa ananisumbua hivi na maswali ya kipuzi.
Si ikabidi nimchapie kuna arif nilikuwa nimemsaidia keja last week na nikama manzi yake aliwacha hizo staff hapo… dem akadai niache kumpima yeye si mtoto, akadai hiyo ndio reason hatoki huku haraka
Mtoto wa mtu akaenda kuchoma bra za wenyewe huko nje na dress na blouse, mans nilikuwa hapo sijui nicheke ama nijam coz arif naye atanimaliza walai… ilikuwa kama video za ViuSasa lakini live.
Si mdem aka maintain nikama ako kwake though alikuwa amefura nikama KDF imekulishwa yeast, mimi saa hiyo najaribu kupiga hesabu ya minus coz tulikuwa tumedunga hema kwa basement ya wenyewe.
Nikajua kesho yake nisipo displace huyu yengs itabidi nimejichomea picha tu roho safi nimsho hapa si kwangu ndio awache kujibeba nikama Rose Muhando… hiyo usiku tukalala bila kusumbuana.
Morning nikachomoka kuenda kuangusha master plan ya kutimua peng tings kwa banker ya wenyewe, nikarudi kitu 9 hapo kumchapia vile kutaenda… mdem akaamua kuniskizia.
Njaro ilikuwa kucheza reverse psychology, una agree na kile anasema alafu akidhani muko highway moja anajikuta kwa highway ya kuenda Eritrea wewe ukielekea Thika.
Nikamchapia haitakuwa poa aseme ocha anakuja kuona aunty yake alafu waskie hajawai kanyaga huko, atleast aende awagote hata kama ti to hours alafu arudi tu maintain nay eye vile anataka.
Juu madem hupenda kudanganywa akaingia box akadai acha afike huko amalizane nao hiyo day then atarudi jioni, nikampatia fare ya kuenda na kurudi… cha muhimu ilikuwa atoke mwenyewe bila forceful eviction

Mtoto wa mtu akafika akanitext “Nimefika poa” hapo nikajua baas nimejiondoa kwa mess, nikamtext kumsho anaeza maintain huko coz kuna venye uncle yangu amekuja mtaani kufuata pesa zake za NSSF na itabidi ame crush kwangu mwezi moja
Nikamsho asijali nguo ntamletea kesho hiyo mtaa ya aunty yake, mdem akakula nare ka acrobat na hajaui alikuwa ameniwacha kwa kesi ya kununulia demy a arif nguo zingine zenye alichoma…
Enyewe fimbo ya mbali haiui nyoka, chungana na long distance relationship msee, hao wakikuja huwa wana pack hadi Sunday best coz lazma watafte nguvu za kusafiri kwanza ndio watoke kwako.
wacha mdem aseme mansion yako inakaa investigation room ya CIA juu ya magazeti kwa ukuta lakini mechi nayo upeane hadi akuje rematch ku confirm… hawa madem hakuna kitu hawajawai ona, wame maintain na kunguni za KU ni nini ingine hawawezi maintain nayo

Hii story yote nani atasoma, weka summary jinga

summrise alafu utuite…

NV mijinga. hatupendi waisii hapa

[MEDIA=twitter]970923445495193601[/MEDIA]

Write your reply…podcast please

Ayayaya, kumbe amelift na vile nimengangana kusoma.

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.pnghttps://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.png

Hio effidence ikam Mara hio. Alafu unaweza nirushia huyo dem anaweza kaa kwangu as long as anataka. Mwanaume ni kuhit hit hit hit until she runs

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/03/225624_46bd824e70bd114b9aa76be0ec669b2c.png

kosokoso ni nini

Ati ukienda kwa msee wa mutura upate bado haijaiva unaanza kulamba chumvi hapo kando…

he

heri mm nasema nime iba

[ATTACH=full]162258[/ATTACH][ATTACH=full]162259[/ATTACH][ATTACH=full]162260[/ATTACH][ATTACH=full]162261[/ATTACH][ATTACH=full]162262[/ATTACH][ATTACH=full]162263[/ATTACH]

Hehe

Hehehe, apo sawa!!