Mash Poa fulani with Uganda regno (UAL ****) and Kigali bound,kanikuta kwa roundabout ya westland kwa jam.It got me from my left.
Nilipoiona I attempted to move but ule dereva akafungua mlango wake na huo mlango ukawa wanizuia kusonga hata kidogo,wakati huo huo yuaniambia atanifira mkundu(you know the hand sign).
Upande huu mwingine ka Star bus kamekataa kunipa njia kabisa.Makanga ananiambia nipite na mlango wa ile basi.At this moment am sandwitched.
All this time the guy is gaining my ground,pia ashaanza kusukuma wengine.Mark you he is doing all this at the full glare of the police.Hawa waswahili bwana ,jamaa ni mnene ata ningetoka nje,ningenyenyekea tu.Karao mmama kaja hapo akaudhi zaidi kwa kusema “kijana hao wachana nao wamekula madawa”
But I liked the way he was controlling such a big bus like it was some small car.
Next time akioverlapp atapata mwingine
Those are the fools who kill people on the road, kaa ungechukua number vizuri ningesukuma hii complaint mbele na jamaa angeathibiwa vikali au amwage unga, P.N.Mashru hapendi ujinga.
Meanwhile Rongai ameamua ni M.A.N.
[ATTACH=full]89318[/ATTACH]
Huyu myamaa kwa kumaintain gari Acha tu. Hizi Lori will still be on the road in the yr 2050
Cc: @jimmy_m
:D:D please Bwana James hizo sweeps za @M2Random na @Eng’iti hazikuwa na comeback, zinaitwa rhetorical sweeps. ukipewa hizo unakojoa, unala ukingoja Afrojiri sacco.