Developers kujeni kiasi

#1
Kuna ile program fulani ya MPesa sana sana hutumika kwa betting sites.. Unaweka amout unataka kudeposit alafu itapop up kwa simu iko na io sim card unaweka tu PIN ya MPesa transaction inafanyika.. Nani anajua kuunda io??
 
Last edited:

AndyLLB

Village Elder
#2
It's called STK push. It works with many online platforms, not only betting sites. Nairobi's City Council is even using it for payment of parking fees nowadays. You can implement it yourself by following M-pesa's documentation on the same. Where do you intend to use it? I may be able to help.
 

shockwave

Village Elder
#6
It's the Daraja API kama venye imesemwa, tembelea developer.safaricom.co.ke kuiona hapo, if possible tafuta mtu anajua kufanya akusaidie ju Kuna venye huanga complex kiasi.
 
Top