This was the genesis of boyshaod kudhulumiwa
Hiyo headie ni kali.Sasa hio vita ilikua inahusu nini?
Sielewi the lingo
Mmh
Kwani unaielewa?
Hapana
kwani wattizedi wameleta kiugunja huku,sijaclick na siwezi kama hakuna mtu anaelewa.
Hio clip inafaa irewindiwe na Dj Afro… kwanza hapo kwa headbutt…ameleta kinyoriro
Hapo ata haikosi mzee akili yake ime format
Hii kali nyie hamtuelewi sie hatuwaelewi lakini tumo
Hi babe
Mmmmmmmh babe tena
Hutaki kuwa wangu,nikubembe nikulete kenya(samehea kiswahili changu)
Mimi sitaki kubembwa wala kupelekwa kenya ninae babe wangu mzuri mzuri wa tz ananitosha
Mbona hamtupendi hivi
Hebu kwanza vua hijab tuone kama sura ni ya kupendeka.
mimi nakupenda na siwezi mind kukukamua
Ntavuaje hijab
Aiseee
Njoo nikuonyeshe.