Diamond kufanya nyimbo mpya na FEMI ONE na KHALIGRAPH

Msanii Diamond amemshirikisha Femi One na Khaligraphy kwenye ngoma yake atakayoitoa kabla ya mwezi ya May, Hbari hizi zimetolewa na Sallam Sk manager wa Diamond. Jana Tanzania msanii Diamond ametangaza kuwalipia familia 500 za Tanzania rent for three months. https://www.youtube.com/

and then you gave us a link ya youtube. marvelous!