'Diasporians'

Azor Ahai

Neo Unplugged
#1
Kwani mnafanyanga nini huko majuu. In the last week or so I have met three returnees. They want job connections and the only thing they seem to have made for themselves is "english of nose". Na wote wanaishi na wazazi at the moment. Two with fatherless kids. Help me understand. Mtu anaishi majuu for years anarudi kukaa na wazazi na mtoto in tow bila any. I believe returnees have a case to answer if they come back broke wanaanza kutusumbua watu wa jua kali tuwatafutie kazi za corporate.
 
#5
inadepend majuu gani...majuu ya brito germany and other europian countries watu hurudi loaded....shida taabu na matatizo ziko middle east...i knw nigga mwenye hukuja kutoka dubai once a year na hio mwezi tunakunyishwa pombe daily but pia daily tunamdrop "kwa matheh"....5 years now na hata hakuna prospect za kununua mchanga ata kama ni ocha
 
Azor Ahai

Neo Unplugged
#6

Hao walitoka majuu ya Australia, UK na Canada. Those are obviously first world countries na sio kwa Abdul.
 
Top