[MEDIA=twitter]1024675728242237440[/MEDIA]
Ingependeza awe mtendaji mkuu chini ya MTU,sasa tumechelewa,tuisome namba pamoja.
Jeshi la mtu mmoja lazima kazi iwe ngumu kwake kwani hana wasaidizi sio kila kitu lazima asome yeye.
:D:D:D bado hajachelewa, aachie ngazi tu wengine wapande, asituzugeā¦
Mwongo mkubwa hakuna cha mafaili wala daftari.
Achia ngazi mwana wane ili wanaojua wapige mzigo
Nalog off
Mwehu huyooo
Mafile ni totoz