Dikteta Magufuli keshabadili siasa za Tanzania for good

Siasa za Tanzania haziwezi kuwa zile zile tena…za kistaarabu, kuheshimiana, kustahimiliana na kuendeleza amani na mshikamano…

Natabiri,

  1. Katika kipindi chake, na katika chaguzi zote, Magufuli hatashinda Urais bali atakuwa akibaki madarakani kwa lazima kama yule nguruwe Shwaini wa Zanzibar…na watakaomshinda ni ama Zitto Kabwe ama Tundu Lissu…wana maarifa na hoja za kisiasa za kumsambaratisha Magufuli mchana kweupe

  2. Atang’ang’ania madaraka na baada ya hapo ataanza kuua raia na wapinzani wake wa kisiasa kwa kasi ya kutisha, ndani na njr ya CCM

  3. Baada ya hapo ATAPINDULIWA na JESHI…hilo likitokea, itatuchukua miaka mingi mno kurudi kuwa Taifa sawa na enzi za JK( hiki ndo kipindi nchi hii iliendeshwa kisasa kabisa na katika siasa za kistaarabu tukiacha wizi wa kura 2015 Bara na Zanzibar)

  4. Lolote laweza kumpata…ama kushitakiwa, ama execution ama akimbilie uhamishoni kwa ndugu zake Rwanda ama Burundi

Mungu Ibariki Tanzania!!!

Huyu mtu mwenye roho mbaya ya ukatili namna hii sijui alitokea wapi…!!

Huyu NGEU sijui nani alituletea Watanzania…

Huku ukimbizini naona watu wanajiachia tu!

Duu!! Sasa nadhani JF TZ itaombwa radhi irudi hewani, maana hii sasa kali.

chato internatyional airport

!
!
Ila Mzee Jeuri Khaaa

Duh. Fantasies hizo

Ujeuri wa kishamba toka chato na koromije ndo unaigharimu hii nchi

Rais wa hovyo sana huyu jamaa

Wa kulaumiwa ni Mkapa na Kikwete

Huwezi jua thamani ya kitu mpaka ukikose maana nakumbuka enzi za Mkapa alisemwa kiongozi katili, enzi za JK alisemwa ndiye rais mbovu kuwahi kutokea TZ na hata akitoka huyu tutasikia tena mengine. Tusubirie yatakayojiri hapo baadae maana leo tena JK ndio alikuwa rais mzuri. Mmmhhhh

Kwakweli, ADMINS kule uzi kama huu ungekuwa ulishafutwa

Saitani

Katokea CCM

Kaletwa na CCM

nalazima atakimbilia kwa rafiki yake kagame

jiwe buana

Hiyo namba 2b tayari imeanza kutekelezwa!!!

Namchukia sana tena saana Magufuli! I hate you the so called president of TUROT!