Dikteta na juhudi zake za kutufunga midomo Watanzania

Kama unajijua unapost video clips kwenye ukurasa wako wa Fb, Tweeter au Insta nenda TCRA kajisajili. Gharama ya usajili laki moja, na ada kwa mwaka ni milioni mbili, kwa mujibu wa The Cybercrimes Act, 2015. Ukipost vipande vya video (video clips) kwenye ukurasa wako na hujajisajili utashtakiwa na adhabu yake ni kifungo kisichopungua miaka mitatu gerezani au faini isiyopungua Shilingi milioni 5. Namna pekee ya kuepuka kusajili ukurasa wako ni kutopost video yoyote inayotoa taarifa/habari kwa umma. Nini maoni yako?

Hivi naweza kwenda gerezani nikaomba nifungwe kwa miaka 3 halafu nikitoka nianze kupost wakinikamata nawaambia nilishachezea kifungo cha mbwa koko?

Ndio jamiiforums ikirudi ndio tutapona kweli? hakika ngoja niendelee kubaki huku huku.

Mamaeeeeeeee zaooooooo

Mmh yamekuwa haya tena! Taifa la viongozi wajinga haliishi vituko

Jamaa wa buku saba Lumumba na wao wamepewa likizo ya LAZIMA bila ya malipo?

Hivi ile Tanzania tuliyokuwa tunaiimbia kwenye mchakamchaka asubuhi na baridi kali enzi zile za Primary, na kwenye zile ngano za

[COLOR=rgb(97, 189, 109)]Ta[COLOR=rgb(247, 218, 100)]n[COLOR=rgb(44, 130, 201)]z[COLOR=rgb(247, 218, 100)]a[COLOR=rgb(0, 0, 0)]nia…×2 nakupenda kwa moyo wote!!!

ndiyo hii tuliyonayo sasa hivi??

Hivi wabunge wetu sasa wameelewa kwa nini kina Tundu Lissu walikuwa wanapinga hiyo miswaada?

[SIZE=7]Kuelewa?? Kwani akili zao wamerudishiwa?? Si nasikia zilikusanywa zikawekwa kwenye kiroba hadi 2020 ndo watarudishiwa???[/SIZE]

Na zile buku 7 zao zime-stop hawapewii tena!

Huyu Magufuli atawaua na njaa ndugu zake wa Lumumba

Madhara ya kuongozwa na Kichaa hivi sasa ni dhahiri Mkuu.

Kuwa Mbunge wa CCM ni laana kubwa sana

Hivi wenyewe wanafurahi nini kwa watanzania kuwa wakimbizi kwa nchi jirani kwenye Kenyatalk??

Toka ameingia Magufuli kuongoza nchi ameigeuza nchi ya Tanzania yenye upendo kuwa ni nchi yenye chuki na visasi

“Tumekabidhi nchi kwa washamba” ZZK

hahaha

hhahah hapo ni sawa na utawaze kisha unye

Mmh hatari

[COLOR=rgb(184, 49, 47)]Wanakusanya mapato

Mkuu kama nikirudishwa primary huo wimbo sitaimba kamwe

Aiseee

Lumumba wapo humu mkuu hujawaona