Kuna msee hapa anatry kunielezea story ati za kampuni inaitwa dipek na mobicash. Anyone with info about these business? Ama ni pyramid ya kawaida …
Kimbia mbio na usiangalie nyuma.MLM kama GNLD
[ATTACH=full]1677[/ATTACH]
3 Likes
toroka mbio
una time ya kupromote hard to move merchandise kama huyo msee?
sasa kuskia ivo
uta.toka bio