Dirty hands clean money

Nimetoka kuchotea my car wash man maji kwa dam, kajolopy kakaoshwa. Kanabreezy. Next stop Kitui kuchukua mbaazi nilete kwa my cereals shop. @kasee talker mwenye ako Masii aseme akiona VItz KCK aseme “mwaaaariim nipe lift” Nitasimama.

[ATTACH=full]232752[/ATTACH]

hapo hapo mwarimo.

safi sana

hehe mwalimu uliamua hatutapumua mpaka gari izeeke

My car
My car
Wacha mwarimo afurahie maisha

Mbutiful mbutiful countryside.

Wengine ni
My office
My office
Come to my office
Vitz itabemba mitungi ngapi ya maji na mbaazi kiasi gani jameni. Si ngenunua pickup hata kama ni mzee

:D:D:D:D Hampumui soon, hadi mwarimo anunune
gazzler. Hii holiday naona nikifika 1/4.

:D:D:D
Mwarimo, mafuta ikiisha unaweza inusisha nail polish remover?

Kula likes for being real, mwenye anakwambia ungenunua pick-up mzee akanunue yake

Mwarimu, simama hapo DotQ. Ukitaka sema nikupee number ya nguruku

Shait! Eitha hii taska imeiva sana ama iko matusi hapa
[ATTACH=full]232786[/ATTACH]

Haiya…unajua Dotq?

Pardiem yangu huishia huko nkiwa hio eneo

Ukiwa maeneo tena nishtue.

[ATTACH=full]232907[/ATTACH][ATTACH=full]232908[/ATTACH]

wanawake hujionea na kuvumilia mengi.hizo vidole za mguu joh!!! ati kuna mwanamke huona hizo vidole anasema babe wake mambo yote:D:D:D

Sawa Mwalimu

Be keen with this kaos. They nowadays mix baazi with thooko. They tried to con me