hehe..hizi pick up lines zimechapwa na time...ukipata manzi mtandao anasema anataka intimate relationship ama 'lets be real' then it means you already know the outcome, hakuna hustle...sio uyu umekutana na wewe pana jua kama yeye iko engaged, married, ama yeye ni 90 days rule, ama ameokoka kupindukia halafu unaanza ati 'im lost, can you please tell me how to get between your legs?' iyo Buda sioni ukikula...ama kama wewe ni persisted, utaiwai after two years