A friend of mine in Uganda is looking for someone to supply him with donkeys and donkey skins from Kenya. If you have any ideas, kindly inbox with details. TIA
mimi naskianga ati kumbe hauwezi safirisha punda kwa gari…ati akibebwa hivi ana cheka had ana kufa…so solution ni unallipa masaai akusafirishie
For real?? Mbona punda zicheke bila sababu
Punda akisafirishwa kwa gari huwa anapata amesement, anacheka hadi kupasuka tumbo
Enda naivasha au limuru usiku punda ni wengi
:D:D:D:D is this true? ama ni heka tu?
Kwenda ministry of livestock kwa maeleso zaidi.
Following
ni hekaya
lakini kuna venye ni ukweli banaa
Hio ni porojo @wonderful wonder hupanda gari akikuja nairobi from Naivasha
:D:D:D Shots fired
Also they don’t cross wooden bridges. Akiona maji huko chini anafaint
alaf pia ikijua inaenda kuchinjwa hua inacheka alafu ukiikaribia bila plan inakuuma
he he he ,ngozi ya punda nitaitowa wapi na nyama itaenda wapi?
FIXED.
Ahem.
Tafadhali naomba @PepoPunda anisaidie na selfie yenye amepiga kwa gari nifanye background research…