Download Font hizi maalumu za kombe la dunia

Kama wewe ni mpenda soka na unafuatilia kwa makini toka kitambo kidogo kuna kitu utakuwa umegundua, Maandishi ya aina tofauti kila kombe la dunia.

Hapa kwa watundu wa simu wanaelewa sana FONT STYLE hii ni aina ya maandishi au mwandiko. Kombe la dunia2018 kule Urusi mwandiko unaotumika unajulikana kama Dusha na mbunifu wake akiwa ni Brandia Central mwaka 2014 raia wa Ureno.[ATTACH=full]183255[/ATTACH]
Sasa kwa wale wanaopenda muonekano bomba kwenye simu zao nimekuwekea hapa Pakua zote Dusha2018 Urusi
[ATTACH=full]183256[/ATTACH]Funny2014 Brazil Download hapa https://smatskills.com/pakua-dushafont-maalumu-kwa-kombe-la-dunia-2018-urusi/ kama wewe ni mjanja changamkia fursa

Kwa mie na soka mbalimbali

Hauna smartphone?

ninayo Ila ni mdogo kwenye soka