Dr Luther and other "Docs".....

#1
Aaaaih Manze apart from eating like a horse nmeona natoka rashes flani kwa mkono ya left........
Swali ni dawa gani Fiti ya dewormin
Almost 7months sjaua hizo manyoka
Nmenunua abz but nmerealize nliamkia Sembe asubuhi so minyoo zneza kosa kufa...
Haya doctors in the house Saidieni peasants niweze kuokoa unga kwa Hii cube yangu.
Waganga Wekeni number zenu ntapiga
Zandeni
 
Nottybwoy

Village Elder
#19

How are the rashes? Jieleze omwami......
 
Top