vile luther hayuko hapa si mavijana STDS zitawamaliza??
nani anajua mahali daktari wa kijiji yuko amwambie aingie huku
1 Like
Sorry Guys,nilitumwa na Dagetare nika sahau kufikisha ujumbeā¦Hio hapo ujumbe wake.
"Noted.
Making my way there in due course. Having a busy Jan & Feb over here, not much time online nowadays.
Thanks for the invite, waambie niko njiani naja."
2 Likes
mwambie akichelewa atapata hapa vijana wameisha hawajui kujitibu. na umaslimie
Sawasawa amakhosi. Pia kama uko na ujumbe private naweza fikisha,Usiogope.