Drama King Meets Drama Queen.

NMK

Senior Villager
#23
Walunje mucene itawaua. I lived in a lunje town, mwenye alikuwa Mama fua alikuwa akitoka 20kms from my plot but alikua anajua story yote ya plot yetu kuliko Mimi mwenye ninaishi hapo. Ni vile tuu nilisahau kumuuliza what the latest mucene is about me. Hawa watu na mucene, ni talanta walipewa. And the men are worse than even the women! They know mucene wen its happening,in real time! Walunje ! Mama mulai!
For now i agree with you. Everytime i stay in shags it's always hilarious how everyone is into evryones business
 
#24
Walunje mucene itawaua. I lived in a lunje town, mwenye alikuwa Mama fua alikuwa akitoka 20kms from my plot but alikua anajua story yote ya plot yetu kuliko Mimi mwenye ninaishi hapo. Ni vile tuu nilisahau kumuuliza what the latest mucene is about me. Hawa watu na mucene, ni talanta walipewa. And the men are worse than even the women! They know mucene wen its happening,in real time! Walunje ! Mama mulai!
Kwa hivyo ukiolewa huko huwezi chesa Msee? :D:D:D
 
madova

Village Elder
#28
Kuko aje? Watu wamedemonstrate against M7 leo?
Kuko poa.Kesho ni festival ya KCCA shieet manze huwa moto wa kuotea mbali.
Diamond kwa jukwaa.
Zile nyati zitakuwa tau ni moto wa kuotea mbali.
Having a ball,drinking and other activities.
Nitakuwa mahali chini ya tent chilling na kilo kama kawa.
 
WuTang

Village Chief
#30

Kwani bado mnashikisha? I thought Mairungi was banned?
 
rexxsimba

Village Chief
#32
Much ado about nothing really ... If Diamond was not RICH , ..... ZARI would have no time for that Nicca .... Its all about the "Benjamins " ...!!
 
Bantu Mmoja

Senior Villager
#40
Kitu najua ni Diamond aligundua he got a gold digger and he went like"hey am diamond you can't get any gold from I no matter how deep you dig into I" ni hayo tu.
 
Top