Dreamliner imepack eti ni matatizo ya wi-fi

Serikali yetu yote 13 July, 2018 ilikuwa uwanja wa ndege ikisubiri Dreamliner tuliyoaminishwa kuwa ni mpya.
Kama vile maajabu haya hayatoshi. Mgeni wetu huyu ameshindwa kuwa kazini na sasa amepack pale JKNI Airport eti ni kwasababu ya matatizo ya wi-fi.

Labda ni kwa kuwa ilipokelewa hapa kwetu on day of unlucky 13:D:D:D

Halafu watu wanadaganywa kuwa watasafiri kwa dreamliner kumbe imepark!!

Nimecheka tu mawaziri wote na rais wao airport walipokes mtumba

nimeona kwenye mitandao Bosi wa ATCL akisema kuwa wanafanya marekebisho madogo madogo kwani mwezi ujao inaanza safari ya kwenda Mumbai, sasa sijui kama IATA tushalipa manake wanatudai na pesa ndefu tu

Hehehe…kuna mdau katoa kali kwamba wana-configre wi-fi maajabu hayo

Duuu.Haaaahaaaa.Mkweche huo.

si watumie bando kama sisi?

kwani mliuziwa scrap? rudisheni mpewe pesa zenu,eheh

tulishaambiwa ambao tumechukia ujio wa dreamliner tutapata tabu sana, sasa wanapata tabu wenyewe, kweli kuchamba kwingi ni kuondoka na mavi

sio mdau mkuu, ni mkurugenzi wa ATCL, sasa najiuliza ina maana ilikuja ikiwa haina wifi, siku za mwanzo waliopanda waliuliza wakajibiwa ni safari ya saa 1 tu wifi ya nini, wifi ni kwa masafa marefu, na tangu imefika imekaa wiki 2 wameshindwa kuconfigure hiyo wifi? mpaka sasa wapoteze pesa kwani linavyokaa pesa inapotea,

Tatizo ni kubwa zaidi ya Wi-Fi

WiFi ya dreamliner ipo matengenezo makubwa!!!:mad:
https://www.jamiiforums.com/attachments/fb_img_1534475316543-jpg.838406/

hapo ni JKI airport Dar? au? walisema leo ingekua angani

wallah nimecheka utadhani mazuri, mbona ilivyofumuliwa namna hiyo ndio wanatafuta nyaya za WiFi au sijaelewa

Naimani isharekebishwa…

Cc: @Mahondaw