Juzi nimekimbia pale Multichoice ya kampala nichukue explora,nikapewa bei nikaona wacha tu.
Including dish,cabling,LNB, decorder plus subscription nilikaribia kitu brown 30.
Nikasema i will be back.

Swali is this investment worthy ama Nichukue Bien mara moja.