DUAL CITIZENSHIP.. WHY YOU INDIVIDUALLY NEED IT

#1
If u are into business like me, i am damn sure umechoshwa na hii siasa.

Biashara imeharibika, wallahi biz inahang na a thread. Counties hazijapewa pesa so hata spending power imeshuka. Guys working witg donor projects have had fundings slashed. A USD 10M project per year is slashed to USD 900K due to political instability. You look at your employees unashangaa utawafanyia nini. These are families. Hata kuja hapa ktalk kwangu hata mood imepotea.

In a month or two, napata TZ citizenship.

You should too.

Hii country imekuwa ya siasa tu.
 
123tokambio

Village Sponsor
#8
Ndio nashughulikia. Nice/Lazio GG ninaweka pesa yote!

Arsenali naona 2.5. Same for Dynamo Kiev na Milan. That's where I'm putting my money today.
Endelea kuchanganua uongezee.
BATE pia naona ikiwin, juu sioni Koln wakienda na full squad.....ama namna gani?
Hio ya Arsenal nilikuwa naona htU1.5 juu hio Red star ni wakaziaji sana, na Arsenal squad yote inashoot na mguu ya left:D:D
Ya Lazio inakaa tamu, and i was going for O1.5 away, but am not sure coz them too might field a weakened side, just to grind out a draw...
Zenit - Rosenborg looks like a O2.5 too...
 
1776

Village Sponsor
#9

Tena nimeona lineup ya Arsenal na ni kama hakuna mtu. Injuries ndio zao. Siwessjua kama bate will win - I'm poor at picking winners. Goals ni rahisi kwangu.
Usisahau Marseille pia ni 2.5. Zenit pia you're right. They played rubbish last weekend pengine walikuwa wakisave energy for today.
Na Atalanta pia itashinda.
 
123tokambio

Village Sponsor
#11

My selection ndio hio, from where i shall choose my final 5 or 7 hapo.....
upload_2017-10-19_19-8-11.png
 
1776

Village Sponsor
#12
Endelea kuchanganua uongezee.
BATE pia naona ikiwin, juu sioni Koln wakienda na full squad.....ama namna gani?
Hio ya Arsenal nilikuwa naona htU1.5 juu hio Red star ni wakaziaji sana, na Arsenal squad yote inashoot na mguu ya left:D:D
Ya Lazio inakaa tamu, and i was going for O1.5 away, but am not sure coz them too might field a weakened side, just to grind out a draw...
Zenit - Rosenborg looks like a O2.5 too...
By the way, you could be right about Bate. Koln imekuwa form MBAYA MBAYA MBAYA SANA. But sijamonitor Bate but I doubt they're as bad as Koln. I may stay out of it.
 
123tokambio

Village Sponsor
#14
By the way, you could be right about Bate. Koln imekuwa form MBAYA MBAYA MBAYA SANA. But sijamonitor Bate but I doubt they're as bad as Koln. I may stay out of it.
The safest can be 1x. Ofcourse mpira hudunda, but honestly i don't see Koln interested in this tournament after the two losses. Its a lost cause for them...
 
Top