Dubai Boy played by Lover

Nilisema hapa kitambo kuna dockets tofauti. Kama yako ni ya Finance wewe jitolee na utume pesa uwezavyo. Mungu atakubariki.
Naye wa Internal Affairs wacha afanye kazi yake bila kusumbuliwa. It's very selfish for someone to be soo far away, send peasant cash to a high maitenance chic (10k, really?) and also expect her to remain faithful for months. Surely surely, it ain't fair.
Chembilecho wahenga, fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
Advice taken tsengiu
 
A.G.

Village Elder
The boy must be from the lake, how do you send money to a stranger? I trust no one pesa ni weke kwa account kidogo nitumie bibi na wazazi project nitafanya nikienda vacation
anaitwa yahboiselfie, ni president wetu pale Twitter Z. Ni jamaa cool but hapa alicheswaaa.
Nilisema hapa kitambo kuna dockets tofauti. Kama yako ni ya Finance wewe jitolee na utume pesa uwezavyo. Mungu atakubariki.
Naye wa Internal Affairs wacha afanye kazi yake bila kusumbuliwa. It's very selfish for someone to be soo far away, send peasant cash to a high maitenance chic (10k, really?) and also expect her to remain faithful for months. Surely surely, it ain't fair.
Chembilecho wahenga, fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
^^^ WORD
 
A.G.

Village Elder
Man hii brazil hekaya naona ugumu sana.I came to realize madam ako hapa ktalk ki-stealth mode. Of late unaniona tu niki-comment kwa generals, hekaya na business. But gmo na kisafisha macho sigwes anymore . Nilileta njaa "visieno" kwa boma
jamaa no disrespect but kwani umeolewa na wife yako. Kuna 1000+1 ways ya kuweka hekaya hapa.