dumb people

#1
Are people just this dumb or what??

Leo mkubwa alinipigia akaniambia nisiende job ju kuna mtu amehire ile Allion mi hudunga nayo job nikasema ni sawa. kufika masaa yake nikaishia kwa boyz flani huwa anakuwanga na movie shop. mi huenda kuchill huko. kufika huko akadai nimshikie juu alikuwa anaenda master copy ya mamovie kadhaa alisahau mtaani.

kutulia kiasi nacheki kaslay queen flani kamekam. kafupi hivi kalikuwa kanakaa kana maringo mob. nikajua huyu ataitisha akina 'If loving you is wrong' ama 'GOT'. Wapi alikam akanigotea alafu akaniuliza kama naeza msaidia nikamshow poa. Akanishow ati ameshindwa kueka WhatsApp kwa simu yake. Nilimwangalia nikaskia kucheka lakini nikacheza chini. Manze huyo dem alikuwa mbleina mbaya.Alikuwa anabonga ni kama dem wa class 3.

Nikamshow kimchezo kueka WhatsApp ni 500. Akanicheki akasema ni sawa nimuekee lakini akabargain hadi 300. Akadai nimuekee pia Facebook na Instagram. Nikamshow Facebook ni 300 na IG ni 400. Manze alisema sawa eka zote. Nikajua Kenya wajinga walai ni wengi sana. Nikacheki hakuwa amelog in playstore na pia hakuwa anajua kutumia phone. Nikalog na nikaregister na email yake.

Ivo ndo nimepewa thao moja hadi nimeshtuka. Yaani mtu anaeza danganywa tu ivo na akubali. Mimi hata nilitii.
 
#4

wewe ndio danda exploiting people. Dunia ni duara
 
LeoK

Village Elder
#12

Hapa hakuna ujanja. She needed services which you provided and she paid promptly. If all Kenyans were like this tungekuwa mbali sana.
 
Ken_Sarro

Village Elder
#19
Mimi back in the days kuna dem fulani alikam place nlikua job nimuwekee fb na twitter nkalipisha 500 and all I did was download the app, register her on gmail nkampea username na password then proceeded to register her on social media. At first nlidhani ni msudanese juu hao ndo huwa mafala hivyo plus her dark complexion and tall figure. Time ya kuregister nagundua ni maiden from the lakeside.
 
Top