dumb people

Are people just this dumb or what??

Leo mkubwa alinipigia akaniambia nisiende job ju kuna mtu amehire ile Allion mi hudunga nayo job nikasema ni sawa. kufika masaa yake nikaishia kwa boyz flani huwa anakuwanga na movie shop. mi huenda kuchill huko. kufika huko akadai nimshikie juu alikuwa anaenda master copy ya mamovie kadhaa alisahau mtaani.

kutulia kiasi nacheki kaslay queen flani kamekam. kafupi hivi kalikuwa kanakaa kana maringo mob. nikajua huyu ataitisha akina ‘If loving you is wrong’ ama ‘GOT’. Wapi alikam akanigotea alafu akaniuliza kama naeza msaidia nikamshow poa. Akanishow ati ameshindwa kueka WhatsApp kwa simu yake. Nilimwangalia nikaskia kucheka lakini nikacheza chini. Manze huyo dem alikuwa mbleina mbaya.Alikuwa anabonga ni kama dem wa class 3.

Nikamshow kimchezo kueka WhatsApp ni 500. Akanicheki akasema ni sawa nimuekee lakini akabargain hadi 300. Akadai nimuekee pia Facebook na Instagram. Nikamshow Facebook ni 300 na IG ni 400. Manze alisema sawa eka zote. Nikajua Kenya wajinga walai ni wengi sana. Nikacheki hakuwa amelog in playstore na pia hakuwa anajua kutumia phone. Nikalog na nikaregister na email yake.

Ivo ndo nimepewa thao moja hadi nimeshtuka. Yaani mtu anaeza danganywa tu ivo na akubali. Mimi hata nilitii.

Halafu ukaamka, ukakojoa, ukaenda jikoni kusaidia mum kutayarisha supper.

Ni wewe mbleina mkubwa.ona, ungechukua huyo dandar ,umpeleke kwako akue anakusafisha rungu.

wewe ndio danda exploiting people. Dunia ni duara

Alikuwa na email kweli?

Surprisingly she had but never used it.

Password alikumbuka namna gani?

Very true. But imagine what she will feel like when she realizes wtf you did to her?

He is safe. Hiyo business ya beshte yake ndio culprit sasa. “Usinunue movies hapo, yule jamaa wa mamovies ni conman.”

Nilireset nikamwekea ingine mpya.

Mimi angenilipa using kuma

Hapa hakuna ujanja. She needed services which you provided and she paid promptly. If all Kenyans were like this tungekuwa mbali sana.

Am sure hiyo 1k imeshaenda by now.Huwa sipendi such money ferking bad energy that disorients your life.

alafu watu wanaanza kulia lia ati gava haija create jobs for the youth ati kenyan gava ni wezi tupu, wanaexploit wanainchi as you can see from op, gava sio shida, shida ni wanainchi.

Yaani nyinyi washenzi mnaamini hii ufala? Who the fuck would pay 500 for whatsapp? Low IQ baboons everywhere.

How old is this tall myama kilamahali.
Nice hekaya.

Hii story tumeshachapiwa na Tommy Lee Sparta like a hundred times before.

Kwa hiyo Thao nikopeshe 400. Nitalipa Sunday

Mimi back in the days kuna dem fulani alikam place nlikua job nimuwekee fb na twitter nkalipisha 500 and all I did was download the app, register her on gmail nkampea username na password then proceeded to register her on social media. At first nlidhani ni msudanese juu hao ndo huwa mafala hivyo plus her dark complexion and tall figure. Time ya kuregister nagundua ni maiden from the lakeside.

just use public transport. kaa huko nyuma and you will confirm we are a nation of idiots and low IQ bags of meat and bone