DUNLOP SP FM800 vs GOODYEAR 205/55 R 16 EFFICIENTGRIP PERFORMANCE

#1
Wadau, I have been presented with same quote for the above tyres shida sasa ni kusettle for the best.

I mostly do town runs i.e home to job and a little weekend town runs.

Which ones would you recommemd based on experience?
 

Idias

Village Elder
#13
Good year mara mbili kwa lc120 na E200.
Dunlop kwa E200 na sijapata shida. Miaka miwili. Kakangu aliyeniagizia dunlop alinunua kwa premio miaka minne sasa hamna shida.
Goodyear ngapi umenunua na mashimo ngapi umengonga. Leta data otherwise potelea mbari
 
Top