Earphones

Hawa watu wa carwash watanimaliza aki,and its the same one I go to,everytime i leave my earphones in the car wakiosha nazi kosa.Hiyo ni kesi ya baadaye

Talkers where can I get the wireless bluetooth earphones.Recommend a shop please.

Kitu kama hii

https://www.sony.com/electronics/in-ear-headphones/mdr-xb70bt

ata wewe uza gari kama ni carwash za 120 bob utakuwa unapeleka gari ipakwe mavi kutoka kwa mitaro ya sewage water.

Tells a lot about how you were brought up, it is Easter matusi wacha,kama hutaki saidia tembeza mbogoro nani,heshima si utumwa.Apologize na uende ukalale.nkt

Kama earphones ndio pekee unanotice zimeibiwa. Rudisha gari kwa mwenyewe. Meffi
[ATTACH=full]234439[/ATTACH]

Earfones chukua apo nyuma ya Tuskys… Na u show wambo nakamia thuruari kesho 6 sharp!

Cheap is expensive…low quality earphones they sell there

Naweza chapa mtu ngumi saa hii,vile nimekasirika

22euro

chukua pace there very good and the battery life is also excellent goes for 11hrs .

Which ones, for how much?

IPhone pods

Pace Mate you can get them at Buttons & Buckles Menswear store located on Chaka Road, same compound with Golden Spot club. Features: bluetooth, noise reduction & 11hrs of charge. Kshs.3,800. Call 0780687799

I got VIDVIE bluetooth earphones from those shop, very good more than a year so far.

https://keeppace.net/shop/earphones/pace-mate/

Ghasia enda TRM kuna a Japanese shop for electronics Miniso utapata kenye unatafuta

Nunua gari ikona Bluetooth ghasia peasant

Hiyo si pia atapata iko na mapengo?