ED in young men. Is there a permanent solution?

No insult, please. I am just a 30-year-old family man na nimekuwa nikistruggle na ED in the last one year. Sometimes I raise to the occasion, sometimes I don 't. ( I get hard but mzigidi inaanguka kama uchumi ya kenya before nifike Canan. I have tried to seek treatment, been hitting gym in the last 5 years, taken care of my diet but wapi? I am still fucked up na staki kutumia sidenafil. Hakuna kitu mbaya kuona madem wakikudai but you can’t go to the next step juu unajijua huko chini ni kubaya. Unawalenga tu.Ni luku tu niko nayo. Is there a permanent solution to ED? NB, I am not a monkey strangler.

1 Like

Hapo tafuta daktari wa ukweli. You seem to be doing everything right.

Pole sana Kaka, pia kuna elder amehangaishwa sana na mujamaa kutoajibika wakati wa mchuano. Tembelea daktari anajua kitu anafanya na mashida yako itakwisha.

1 Like

Tafuta pesa ni usoto inafanya chuma ikae weak

3 Likes

It’s all in the mind. Jiamini na uepuke wasiwasi.

2 Likes

Nimetembelea mpaka Urologist bana.

when I was broke, I was a bully in bed. Now I am doing well financially bro.Shida sijui ilitoka wapi.

some experts wamenishow hii juu honestly i get anxiety when i am about to do this things probably juu ya fear nitafail.

Now I envy young and older men who hit this thing vibaya sana. ED is the last thing I would pray for my worst enemy to have.

1 Like

Huyu anapatikana wapi bro? I have worked with 3 urologists so far

Cut w8.

Kunywa Pilsner beer tatu b4 game,
Utamwaga born marrow,

Yako ni performance anxiety. The fear of failing when it matters most ndio inakuletea hizi shida zote. Dawa is not to give a fuck. Tombs, mwaga, songa.

1 Like

If you have sought medical help, then iko shida mahali. How’s you BP? Check diet too and finally your state of mind, learn to relax and avoid anxiety. 30 is too young to be having such issues

1 Like

Badilisha kuma, mzee nachokeshwa na diet moja kila siku

Io pesa yako haitosi, pesa inafaa kukupea kiburi hadi unadinya bibi ya Musalia na io 4 billion yake.

1 Like

my bp is okay sir. the last time i measured like 2 weeks ago ilikuwa 118/65.

65?.

pesa lazima nitafute mkuu. Hiyo nayo huwa nimeamulia

yes. A norma bp is:systolic: less than 120 mm Hg
diastolic: less than 80 mm Hg