elders

culture

Village Elder
#1
So jana nilikuwa off duty alafu i dicided to visit bro pale embakasi ap training.he is a teacher there.so nikiwa mtaani kijana anapendaga kunikwamilia sana.so i walk around with him wkeds.mimi nikaamua chuma ipumzike nitumie matatu.kijana ako na hii tabia ya kuniita baba after every 1 minute.haha.baba ona ile dinga,baba ninunulie hii,baba ona ngombe.baba.....blablabla .but nishazoea.so sisi hao kwa matatu alafu tukafika pale airport kijana ashaanza story za ndege.

Sasa kitu iliniudhi yangu yote kuna kidem kilikuwa kimekaa mbele yangu.akanishow..si uambie hicho kitoto kinyamaze.tumechoka kupigiwa kelele.malaya,umbwa,matako,sura kama ya saitaaan.who do you think you are?yaani unaita mtoto wangu hicho kitoto.that was my responce huku nikimrukia kama chui.yaani hii mwaka yote sijawahi kasirika kama jana.i value my son more than my car.ilibidi conda aingilie kunituliza..huku akichunwa maskio na wamama wengine abiria wakimwambia.nyinyi wasichana ndio mnaachia mama zenu watoto ushago na mnakuja kukimbizana na ulevi nairobi...vile nilisema niwekwe hapo ap nilisikia kimeuliza ..kwani huyo ni afande?...

to all parents...was this ok ama i overreacted.coz nakumbuka zile matusi nlimwambia not minding who was listening naona kama nilikosea abiria wengine heshima
 
Last edited:

Claire

Village Elder
#8
So jana nilikuwa off duty alafu i dicided to visit bro pale embakasi ap training.he is a teacher there.so nikiwa mtaani kijana anapendaga kunikwamilia sana.so i walk around with him wkeds.mimi nikaamua chuma ipumzike nitumie matatu.kijana ako na hii tabia ya kuniita baba after every 1 minute.haha.baba ona ile dinga,baba ninunulie hii,baba ona ngombe.baba.....blablabla .but nishazoea.so sisi hao kwa matatu alafu tukafika pale airport kijana ashaanza story za ndege.

Sasa kitu iliniudhi..................
:D:D:DTo this point I thought the "boy" attempted cock blocking or something of that kind. (lasima tuambiane ukweli, based on your nature of hekayas)
 
#14
hehehe naona hapo ulibehave Ki tru Rasta, NEVER DIS a man or child, but huyo kijana yako ni kihere here kama wewe, ndo mana we hutuletea story nyingi, mara kili mums, mara koinange finest, mara Astonvilla manenos, hapo ndo kijana ametolea udaku (on a lighter NOTE bro)
 
culture

Village Elder
#17

:D:Dkwani mimi ni kuiherehere.aki sasa nitapunguza postings huku.nikae tu kwa ukuta
 
Rauchen

Village Elder
#20
That lady is a young single mother na amewachia wazazi mtoto. She felt jealous after seeing u bonding with your son coz mtoto wake hana baba Wakumpeleka raundi kama hizo. Mtoto ushinda akimuuliza mom mbona sijui baba yangu ama sinanga baba?
 
Top