electricity prices

Na vile huku kenya zime skyrocket, na bado wanadai kuongeza . lakini kenya tuna shida
[ATTACH=full]149549[/ATTACH]

Why is it that in Kenya, only KenGen+KPLC have the mandate to produce and distribute electricity?

Hii country ni ya ma cartel. Usiulize hiyo swali tena.

bana juzi nimenunua token ya thao nikatumiwa units kumi , iliniuma sanaa mpaka nikachapa umbwa teke ikanyora hapo chini

:smiley: :smiley: :smiley:

no wonder we’re launching locomotives, while the rest of the world is on electric trains .

@bolingo ushajibiwa

Masaibu yangu

[ATTACH=full]149553[/ATTACH]

Hukuwa umelipa standing charges au nini.Hiyo ni hujuma bwana

KPLC wanafanya robbery without violence

weeh hii nayo ni robbery without violence
:D:D:D:D

Nimeletewa bill ya 40k on 2/1/18 and on top of that employees wanalilia advance ya kupeleka watoi shule.Hapo ndio mtu ushindwa acheke ama alie

Invest in solar power , initial costs are high but can’t be compared to dealing with kplc.

Elections are over sasa ni wakati wa kuwa shafted.

jina ya umbwa ulichapa teke prrisss, ni ile ilikula sikio ya umbwa jirani???

hehehe hapana si Munchy , munchy inaweza kuuma ukiipiga .

apa lazima ulibuy token 6 months ago

Lanes

[ATTACH=full]149591[/ATTACH]

uliza starring

No, the last time i bought tokens was early November.