Electronic Key cutting machine

I want to purchase this key duplicating machine…any leads on where I can get one in the CBD ?..Also what’s the approximate price ?

Hope sio ya ukora

70K.

Zi ni ya biashara…hii kazi ya kuoffer services ni poa sana…unanua key blank less than 10 Bob mtu anakuja dakika mbili anakuwai mia

Asante sana…though a bit higher than my budget…hakuna za wachina zenye ni cheap

Hizo ni China. But unaweza tembea pale OLX utafute used. Plus unaweza fanya window shopping for cheaper models.

Poa

Niliambiwa mia mbili kutengenezewa kifunguo nikaskia kulia hawa watu wanakula na uma