Elektions madness

ssp

Village Elder
#1
*TO ALL KENYANS*

We have Noticed Hacking & Rigging in the Supermarkets?

The Price Tags attached on items do NOT Match the Price in their Cashier/Teller Machine.

*Sasa Nimechanuka.*

Siku hizi nikienda shopping lazima nibebe forms 34As za kila item nimenunua yaani nango'oa kila price tag ya kila item nimenunua nabeba hadi kwa cashier.

Nikifika hapo kwa cashier *akihesabu, nahesabu, akijumuisha najumuisha, akitangaza natangaza* then zikiwa sawa nawarudishia tags zao.

Halafu kando yangu niko na observer that's my daughter incase wanajaribu kunichezea she will protest.
 

Top