State of roads in Elgeyo Marakwet county.
@uwesmake amecome kunisave naye akakwama pia.
[ATTACH=full]41016[/ATTACH] [ATTACH=full]41017[/ATTACH] [ATTACH=full]41018[/ATTACH] [ATTACH=full]41019[/ATTACH]
mahali popote watu bado wanabebwa na âface meâ pickup matatus kuko nyuma bado
hadi seneta wao ameshikwo
[ATTACH=full]41020[/ATTACH]
Kwani pesa za cdf hakuna huko, ama pesa za devolution ?
I think driving skills za hawa majamaa iko down, all the vehicles shown here are 4x4 , kwanza the big machine hapo juu.
Those donât qualify to be called roads they might as well be shambasâŚ
You clearly have never driven place kama hii, kuku iki cross road na by reflex uguze brakes unaokotwa kwa ditch. Unadhani ile swali âwhy did the chicken cross the roadâ ilitoka wapi
Sana sana mbwa ndio huwa na hiyo kisirani. Hizo zikiwa zinacross huwa hazireverse no matter the situation.
Human stupidity at its best. Ukiona bara bara kama hii jua outright unajiingiza kwa shida na hiyo safari unaicancel mara moja. Unless kunyeshe ukiwa njiani.
Hiyo mambo ya face bana. Wako manyu sana
Even the airhead sycophant alikwama. Napenda sana. :D:D:D
hii njia ni ya wenye tractors pekee
Funny thing the dilapidated state of roads will be his campaign machinery to woo his electorate on why he needs to be the Govenor
Lack of driving skills. Thats like a tarmac road to a four wheel with the right driver.
i dread such roads,unless youâre sure utabaki katikati ya baro hauwesmake especially when you meet oncoming traffic wewe kwisha
The road is slippery even to a four wheel drive, the problem comes when you slip and the upper body touches that wall besides the road even a four wheel experienced driver will get stuck
Mzee mzima ushawahi panda hii matatu?
Unaweza pata ile Suzuki Sierra 1300cc, ile yenye lazima ushuke so you can lock the front diff manually imepita hapo virahisi kabisa.
even upto 2005 they used to be common huko kwetu
aai ooh i now get why you have that handle name
Unless unaogopa kuharibu body, a vehicle with diff lock itatoka, hata miguu tatu zikiwa kwa hewa.